Serikali za mitaa zitaruhusiwa kuanza kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za chini katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.
Akihojiwa katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, Msemaji wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Riziki Abraham, alithibitisha kuwa Sekretarieti hiyo itakasimu sehemu ya madaraka yake ya kuendesha mchakato
↧