Mchekeshaji wa muda mrefu Amri Athuman 'Mzee Majuto' ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa maisha yake ni komedi tosha kutokana na kumvunja mtu mbavu bila kujali yuko mahala gani....
Akizungumza na mwandishi wetu, Mzee Majuto alisema yeye hutoa shoo muda wowote bure bila kujali yuko katika wakati gani kwani maisha yake ni komedi tupu
↧