Miongoni mwa makosa yanayofanyika mtandaoni ni hili lijulikanalo kama “Phishing” ambapo kosa hili limekuwa likidumu na kukua kwa kasi sana katika nchi mbali mbali.
Nchi mbali mbali zimechukulia uhalifu huu kuwa ni hatari kwani unaweza kuwa na madhara makubwa kwa mtendewa ikiwa ni pamoja na kupelekea kumfilisi mtu, kupata taarifa za watu kinyume na sheria au makubaliano na hata
↧