Kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la
Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa
mipira ya kondomu na dawa za kupanga uzazi.
Sheria ya afya ya uzazi ya mwaka 2014 ambayo tayari ipo mbele ya Senet, inasema
kuwa elimu kwa watoto kuhusu afya ya uzazi na ngono wapewe watoto
pengine hata bila ya wazazi kutoa idhini.
Sheria hiyo
↧