Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru.
Wakili wake ameambia BBC kuwa mwanamke huyo aliyekiuka dini kwa kwa kuolewa na mwanamume mkristo aliachiliwa huru Jumatatu
Hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya Meriam
Ibrahim,ilibatilishwa na mahakama ya rufaa, kwa mujibu wa shirika la
habari la Sudan Suna.
Meriam ameolewa na mwanamume mkristo na
↧