Watatu wajeruhiwa kwa Risasi za Moto baada ya kukutwa wakicheza ngoma za...
Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za...
View ArticleMagazeti ya Leo Ijumaa ya tarehe 20 June 2014
Magazeti ya Leo Ijumaa ya tarehe 20 June 2014
View ArticleVitambulisho vya kura kutolewa upya.....Vituo 40,015 kutumiwa kuwaandikisha...
VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya,...
View ArticleUrembo Wa Batuli Kwishaa .....Aamua kuuza Mihogo Ya Kukaanga Ili Kujikimu...
Star wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu. Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo...
View ArticleSakata la Mumewe kupandishwa kortini kwa Ubakaji....Flora Mbasha ajikuta...
Wakati jana mumewe Emmanuel Mbasha (32) akipandishwa kizimbani kwa mara ya pili kwa soo la ubakaji wa shemejiye, mwimba Injili kinara Bongo, Flora Mbasha (31) amepitia katika hatua tatu za aibu. Mbasha...
View ArticleMarekani yaiadhibu Uganda kwa Kupinga Ushoga
Marekani imeadhidhibu Uganda kwa kuweka sheria kali ya kupinga mapenzi ya jinsi moja katika taifa hilo. Msemaji wa Whitehouse, Caltlin Hayden ameeleza katika barua yake kwa vyombo vya habari kuwa...
View ArticleJamaa anaswa akifanya Mapenzi na mke wa Rafiki yake Mabibo jijini Dar...
Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu. Tukio hilo...
View ArticleMitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na...
View ArticleMsami akiri kuwa mpenzi wa Irene Uwoya, azungumzia tofauti ya umri na mipango...
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya. Akiongea na Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka...
View ArticleWafahamu Wasanii Wa Afrika Watakaoperform Kwenye Tuzo Za BET 2014
Tuzo za BET mwaka huu zitatolewa wikend ijayo, July 28/29 mwaka huu huko Los Angeles Marekani na kushuhudia wasanii wengi wakubwa duniani wakiperform kwenye jukwaa hilo kubwa.. Majina ya wasanii...
View ArticleUndani wa Sakata la Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko aliyepigwa Risasi na...
Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini na mtu aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo. Akizungumza na...
View ArticleWakati Mbasha akiwa nje kwa dhamana kesi ya kubaka.....Mchungaji Gwajima...
Wakati mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es...
View ArticleMadiwani 5 wa CCM na mmoja CUF wavuliwa udiwani na Mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Kagera, imewavua madiwani sita nyadhifa zao baada ya kubainika kuwa, walishindwa kuhudhuria vikao vya kikanuni vya halmashauri ya manispaa hiyo, hivyo kupoteza sifa...
View ArticleAjali mbaya yatokea eneo la Makongo.... Watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha
Magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10. Ajali hiyo imetokea mchana huu eneo...
View ArticleBabu Seya na Mwanaye Papii Kocha watumbuiza kwenye maadhimisho ya Magereza Day
Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum...
View ArticleMoto mkubwa Wazuka Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) Usiku
Uchunguzi umeanza leo asubuhi kujua chanzo cha kuzuka kwa moto karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia...
View ArticleNuh Mziwada: Utaficha wapi Sura yako Shiole akikupiga chini?
Siku chache baada ya mpenzi wa Zuwena Mohamed 'Shiole' Nuhu Mziwanda kuweka kwenye mtandao wa 'instagram' picha zikionyesha tatoo aliyojichora yenye jina la mpenzi wake huyo, wadau wa filamu...
View ArticleMwimbaji wa kike wa Nigeria ajitoa kwa Boko Haram ili wasichana 200 waachwe...
Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram. Mwimbaji huyo ambaye...
View ArticlePicha nyingine 6 za Ajali ya dalala iliyoua watu zaidi ya 10 jijini Dar leo...
Magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10. Ajali hiyo imetokea mchana huu eneo...
View ArticleLowassa atangaza Uamuzi Mgumu
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji yenye ukubwa wa zaidi ya...
View Article