Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward
Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za
Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji yenye ukubwa wa zaidi ya
ekari 10,000, ambayo hayajaendelezwa.
Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lomooti,
Kata ya Lolkisale wilayani humo alipokwenda kutembelea boma la kisasa la
mfugaji Isaya Lembekure,
↧