Wakati jana mumewe Emmanuel Mbasha (32) akipandishwa
kizimbani kwa mara ya pili kwa soo la ubakaji wa shemejiye, mwimba
Injili kinara Bongo, Flora Mbasha (31) amepitia katika hatua tatu za
aibu.
Mbasha ambaye naye ni mwimba Injili na mfanyabiashara alitarajiwa
kupandishwa kizimbani jana kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya
Ilala, Dar akitokea mahabusu Keko akikabiliwa na
↧