Marekani imeadhidhibu Uganda kwa kuweka sheria kali ya kupinga mapenzi ya jinsi moja katika taifa hilo.
Msemaji wa Whitehouse, Caltlin Hayden ameeleza katika barua yake kwa
vyombo vya habari kuwa sheria iliyopitishwa na bunge la Uganda ikiuka
haki za binadamu.
Vikwazo vya Marekani kwa Uganda kama adhabu, vinajumisha kuwapiga
marufuku wanaharakati waliopigia debe sheria hiyo
↧