Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini
Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack
wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.
Tukio hilo lilitokea
Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa
chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha.
Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa
↧