Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo
wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili
kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na
maadili ya uandishi wa habari.
Hayo yalisemwa na mkurugenzi wa teknolojia ya
habari na mawasiliano wa mamlaka hiyo, Dk Joseph Kilongola katika
kongamano la kimataifa la habari lililo
↧