Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer)
amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene
Uwoya.
Akiongea na Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka
kutoa maelezo kuhusu ukweli wa mambo kati ya wawili hao lakini kwa mara
ya kwanza aliamua kuiambia Times Fm kauli yake kutokana na
jinsi alivyoulizwa.
“Kaongea kwa upole huyu jamaa,
↧