Tuzo za BET mwaka huu zitatolewa wikend ijayo, July 28/29 mwaka huu huko
Los Angeles Marekani na kushuhudia wasanii wengi wakubwa duniani
wakiperform kwenye jukwaa hilo kubwa..
Majina ya wasanii wakubwa wa Afrika yaliyotajwa ni pamoja na rapper
kutoka Nigeria, Sarkodie, Tiwa Savage wa Nigeria na kundi la Mafikizolo
la Afrika Kusini ambao watajumuika na wenzao kuperform Live katika
↧