Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis
ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini na mtu
aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi nyumbani kwake Mwananyamala jijini
Dar, majeruhi huyo alisema tukio hilo lilijiri maeneo ya Mwananyamala-
Kisiwani karibu na Ofisi za Chama cha Wananchi (Cuf) na
↧