Wakati mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha,
Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa
kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar
es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana na
sakata hilo.
Mbasha aliachiwa kwa dhamana juzi akitokea Gereza la Keko, Dar baada
ya kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza
↧