Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa
katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na
polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za Kigodoro, ambazo
tayari zimekwishapigwa marufuku na jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar
es Salaam.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na nusu jioni katika eneo la shule ya msingi
↧