Aachwa na mkewe baada ya madaktari kuupunguza uume wake kwa bahati mbaya
Madaktari nchini Canada wameingia katika matitizo makubwa baada ya kukosea na kumkata mwanaume mmoja sehemu ya uume wake na kupunguza kwa urefu wa inch 1 (sentimeta 2.5). Kwa mujibu wa QMI la Canada,...
View ArticleTajiri adaiwa kumbaka mtumishi wake (house girl) mwenye umri wa miaka 14...
Mfanyakazi wa ndani, miaka 14 mkazi wa kijiji cha Mdenge, Kata ya Likombe katika Wilaya ya Mtwara, amebakwa na mwajiri wake usiku wa kuamkia jana na kumsababishia maumivu makali na kisha kutokomea...
View ArticleMbunge Vicky Kamata atoa wimbo mpya uitwao....'Moyo wa Mtu Kichaka'.....Hii...
Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana naye. Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia...
View ArticleUpdate: Mume wa Flora Mbasha akamatwa na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za...
MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo la ubakaji.Mshtakiwa huyo ambaye ni...
View ArticleHii ndio kauli ya Rais Kenyatta baada ya mashambulizi mawili yaliyoua Wakenya 70
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa mauaji yaliyofanywa katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al Shabaab. Kauli ya Rais Kenyatta inakuja...
View ArticleMaelezo Muhimu kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano Mwaka 2014
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya...
View ArticleMajina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 18 June 2014
Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 18 June 2014
View ArticlePicha na maelezo ya bomu lililoonekana Mtwara jioni ya Juni 16
Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwa na watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo la makaburi....
View ArticleLowassa: Bomu la ajira kwa vijana Litalipuka muda wowote.....Asema vijana...
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema vijana 10,500 waliojitokeza hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kufanya usaili wa nafasi 70 za kazi katika Idara ya Uhamiaji, ni ishara...
View ArticleMwanamke Ajifungua Mtoto Mwenye Kichwa Cha Ajabu Mkoani Singida.....Hakuwahi...
Mwanamke mmoja mkazi wa Kintinku, Wilayani Manyoni mkoani Singida amejikuta akimwaga machozi baada ya kujifungua mtoto mwenye kichwa cha ajabu ( tepe tepe). Tukio hilo limetokea...
View ArticleHili ni Dili alilolipata Jokate Mwegelo kwenye sabuni inayotumia sura yake
Mwanamitindo Jokate Mwegelo ameibuka na ubunifu mpya wa sabuni ya kuogea inayokwenda kwa jina la Mo yenye sura yake. Dili hili amelipata ikiwa ni baada ya kutesa na bidhaa ya ndala iliyokuwa na...
View ArticleMajibu ya Ridhiwani Kikwete kuhusu NEC na kwa wanaosema anamiliki vituo vya...
Inawezekana hili likawa moja kati ya maswali uliyonayo na hujawahi kupata nafasi ya kumuuliza muhusika au inawezekana ikawa ni ishu ambayo umewahi kuisikia au kuisoma kwenye chombo chochote cha habari....
View ArticleMajina ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji...
1. Orodha ya majina ya wafuatao, ni wasailiwa waliopita awamu ya kwanza ya usaili wa kuandika (Aptitude test). 2. Usaili wa awamu ya Pili ni wa ana kwa ana (Oral interview). Utafanyika katika Bwalo...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 19 June 2014
Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 19 June 2014
View ArticleMume wa Flora Mbasha Apata Dhamana.....
MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar baada ya kutimiza masharti. Mbasha amefikishwa mahakamani hapo...
View ArticleManeno ya Director Mtitu kuhusu Kesi ya Emanuel Mbasha na Roho ya Kikatili...
Zikiwa siku chache zimepita tangu kesi ya Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha ianzwe kusikilizwa kwenye mahakama ya wilaya ya Ilala Dar es salaam ,baadhi ya...
View ArticleWabunge wa CHADEMA waumbuana Bungeni
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere (Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa...
View ArticleKituo cha TV chafungiwa baada ya kuonyesha Picha za Rais Museven akiwa...
Serikali ya Uganda imekifungia kituo kikubwa cha Televisheni cha nchi hiyo NTV kuripoti habari zozote zinazomhusu Rais baada ya kurusha hewani picha zinazomuonyesha Rais Yoweri Museveni amesinzia...
View ArticlePolisi nchini Kenya yamkamata mtu anayedaiwa kuendesha Account ya Twitter...
Maafisa wa polisi wa Kenya wamemtia nguvuni mshukiwa anayetuhumiwa kuendesha akaunti ya Twitter ambayo ina uhusiano na kundi la kigaidi la Al shabaab na uliotoa habari kwamba Al shabaab walihusika...
View Article