Madaktari nchini Canada wameingia katika matitizo makubwa baada ya
kukosea na kumkata mwanaume mmoja sehemu ya uume wake na kupunguza kwa
urefu wa inch 1 (sentimeta 2.5).
Kwa mujibu wa QMI la Canada, mwanaume huyo anadaiwa kufika hospitali
akihitaji matibabu baada ya kuumia bahati mbaya wakati wa tendo la ndoa
na kupata mshituko hivyo kulazimika kufanyiwa upasuaji ili kumsaidia
↧