Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa mauaji yaliyofanywa katika
mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji wa
kiislamu la Al Shabaab.
Kauli ya Rais Kenyatta inakuja siku moja baada ya kundi hilo kukiri kufanya mauaji yaliyotokea Mpeketoni Jumapili usiku na kuua watu zaidi ya 50.
Akitoa hotuba yake ya kitaifa, Rais Kenyatta pia amesema maafisa
↧