Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali
na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa
kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato
cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.
2.0 WATAHINIWA WALIOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE, MWAKA 2013
Jumla ya watahiniwa 427,679 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha
↧