Wema Sepetu adaka Mimba ya Diamond Plutnumz
'Beautiful Onyinye' na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya misukosuko ya muda mrefu ikiwemo kuporwa na wasichana wenzake penzi lake la Diamond, sasa Wema...
View ArticleBig Brother Africa 2014 Yatangaza Tarehe Ya Usaili Kwa Tanzania.
Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tarehe ya usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New...
View ArticleAunt Ezekiel: Bado Sijaona Mwanaume wa Kunizalisha
Wakati rafiki yake kipenzi, Wema Sepetu akidaiwa kunasa mimba ya Diamond , Aunt Ezekiel yeye amesema bado hajaona mwanaume anayeweza kumtia mimba na hatimaye kuitwa baba wa...
View ArticlePolisi wafanikiwa kumkamata Mwanamke aliyekuwa akimtesa binti yake wa kazi...
Polisi wamefanikiwa kumnasa mwanamke anayedaiwa kumtesa kwa kipigo na kumng’ata mtoto Merina Mathayo (15), kumsababishia majeraha makubwa kichwani. Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius...
View ArticleRais Kikwete aagiza waliolipua Bomu Zanzibar wasakwe na kukamatwa haraka
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki watu wote waliohusika katika ulipuaji bomu lililosababisha kifo na kujeruhi watu saba mjini Unguja,...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 16 June 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 16 June 2014
View ArticleFlora Mbasha na Mumewe kumbe wana Laana ya Askofu Kulola......Walimtuhumu...
SAKATA la tuhuma za ubakaji zinazomkabili mume wa Flora Mbasha sasa limechukua sura mpya baada ya maovu yao mengine kuanikwa hadharani na ndugu wa Flora..... Msichana mmoja...
View ArticleJackline Wolper: Msaka Pesa toka Machame aliyeishia kwa Matapeli wa Mapenzi...
Jackline Wolper ni mmoja kati ya warembo wenye umaarufu mkubwa nchini na katika soko la Filamu za Tanzania. Anamvuto unaokubalika na wengi na ameweza kujipatia umaarufu mkubwa...
View ArticleTaarifa ya kukwapuliwa kwa Account ya Faceboook ya Meya Jerry Slaa
Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya Facebook ime-hack-iwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri. Tafadhali...
View ArticlePicha mpya zilizochapishwa za mauaji Iraq na miili ikiwa imetupwa kwenye mitaro
Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa Iraq....
View ArticleMashambulizi mapya Kenya....Watu 48 wauwawa
WATU 48 wameripotiwa kuuawa, hoteli mbili, kituo cha polisi na kituo cha mafuta kuchomwa moto baada ya shambulio lililotokea eneo la Mpeketoni, Lamu nchini Kenya jana usiku. Kituo cha Polisi cha...
View ArticleGhana vs USA: Muigizaji mrembo wa Ghana aahidi kumpiga busu mfungaji wa goli...
Wakati Ghana inajiandaa kukabiliana na Marekani leo katika Kombe la Dunia, mcheza filamu maarufu wa Ghana Nikki Samonas amesema atampa busu zito mchezaji yeyote wa Ghana atakayefunga bao la kwanza hii...
View ArticleRais Kikwete ateta na wasanii mjini Dodoma
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisistiza jambo wakati akizungumza na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz ikulu ndogo mjini Dodoma wakati wa chakula cha usiku alichowaandalia wasanii walioshiriki...
View ArticleKijana akutwa amekufa kwenye kituo cha mabasi yaendayo kasi jijini Dar
Mwili wa marehemu .... Kijana mmoja wa kiume aliyedaiwa kuwa ni mfanyabiashara ndogondogo amekutwa amefariki katika kituo cha mabasi yaendayo kasi Manzese, jijini Dar, leo asubuhi. Inasemekana...
View ArticleTabora: Walimu 298 walala sakafuni kwa siku 4 kufuatilia mishahara...
Walimu wakiwa wamelala sakafuni katika ofisi za halmashauri. JUMLA ya Walimu 298 wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa mwaka huu Wilayani Igunga mkoani Tabora, wameendelea na mgomo wa kubaki...
View ArticleWanaovaa Vibaya marufuku Mahakamani Kinondoni......Mavazi ambayo hayatakiwi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imeweka kibano kwa watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo kwa kuwazuia mlangoni. Miongoni mwa mavazi ambayo akivaa mtu anazuiwa...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumanne ya tarehe 17 June 2014
Magazeti ya Leo Jumanne ya tarehe 17 June 2014
View ArticleKutana na Dawa ya Habbat Soda yenye uwezo wa kutibu Magonjwa 75 kama vile...
Habbat Soda au Nigella Sativa kwa jina la kisayansi ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya yanayo mkabili...
View ArticleHali ni mbaya Kenya: Al- Shabaab wameua watu wengine 10 usiku wa kuamkia leo...
Shambulizi jingine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10. Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya...
View ArticleMwanaume aharibu mali zote za mpenzi wake baada ya kunyimwa tendo la ndoa
RB nambari TBT/RB/3478/2014 ya Kituo cha Polisi Tabata, jijini Dar es Salaam ina kesi ya dereva taksi aliyepatikana kwa jina moja la Lindoya akidaiwa kuharibu mali za Asia Hakika kwa sababu eti...
View Article