Walimu wakiwa wamelala sakafuni katika ofisi za halmashauri.
JUMLA ya Walimu 298 wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa mwaka huu Wilayani Igunga mkoani Tabora, wameendelea na mgomo wa kubaki katika na kulazimika kulala katika viti na meza katika ukumbi wa Halmashauri hiyo siku nne mfululizo wakishinikiza serikali ya Wilaya ya Igunga kuwalipa mishahara yao.Wakizungumza na FikraPevu leo
↧