Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Kijana akutwa amekufa kwenye kituo cha mabasi yaendayo kasi jijini Dar

$
0
0
Mwili  wa  marehemu  .... Kijana mmoja wa kiume aliyedaiwa kuwa ni mfanyabiashara ndogondogo amekutwa amefariki katika kituo cha mabasi yaendayo kasi Manzese, jijini Dar, leo asubuhi.  Inasemekana vijana wengi huwa wana tabia ya kulala ndani ya vituo hivyo kwa hiyo watu iliwachukua muda mrefu kubaini kama amefariki.   Kwa mujibu wa mtendaji wa serikali wa Kata ya Midizini-Manzese,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>