Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisistiza jambo wakati akizungumza na
msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz ikulu ndogo mjini Dodoma wakati wa
chakula cha usiku alichowaandalia wasanii walioshiriki katika tamasha la
Uzalendo na Uzinduzi wa Video ya wimbo maalum wa miaka 50 ya Muungano
wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika uwanja wa michezo wa
Jamhuri mjini Dodoma Jumamosi. Kulia
↧