Wakati rafiki yake kipenzi, Wema Sepetu akidaiwa kunasa mimba ya Diamond , Aunt Ezekiel yeye amesema bado hajaona mwanaume anayeweza kumtia mimba na hatimaye kuitwa baba wa watoto wake.....
Akipiga stori na mwanahabari wetu , Aunt Ezekiel amedai kuwa kuna wakati unaweza kumuona yupo kwenye ndoa au uchumba lakini haimaanishi kuwa kuwepo katika
↧