Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Polisi wafanikiwa kumkamata Mwanamke aliyekuwa akimtesa binti yake wa kazi kwa kumkata kata kichwani na kumg'ata

$
0
0
Polisi wamefanikiwa kumnasa mwanamke anayedaiwa kumtesa kwa kipigo na kumng’ata mtoto Merina Mathayo (15), kumsababishia majeraha makubwa kichwani.    Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura akizungumza na Mwananchi jana alisema walifanikiwa kumnasa juzi, mwanamke huyo akiwa mafichoni Mbagala wilayani Temeke.   “Tumefanikiwa kumnasa juzi usiku akiwa mafichoni kwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>