Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika
nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tarehe ya
usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New Africa Hotel, Dar
es salaam.
Mshindi wa mwaka huu atajinyakulia kitita cha $300,000.
Nchi zinazoshiriki mwaka huu ni Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya,
Malawi, Namibia, Nigeria, Rwanda,
↧