'Beautiful Onyinye' na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya misukosuko ya muda mrefu ikiwemo kuporwa na wasichana wenzake penzi lake la Diamond, sasa Wema amepata kile alichokuwa akikililia kwa muda mrefu....
Chanzo cha habari hii kutoka kwa marafiki wa Diamond kimedai kuwa Wema amenasa ujauzito na kugundulika hivyo
↧