Nabii anayetikisa kwa maono ya vitu mbalimbali Hosea Chamungu 'Mzee wa maono' ameibuka na jambo zito baada ya kufunga kwa siku tatu mfululizo huku akifanya maombi nyikani......
Akiongea na mwanahabari wetu mapema wiki hii, nabii Chamungu alisema kuwa amekuwa na desturi ya kufunga siku tatu kila wiki ili kupata maono ya mambo mbalimbali
↧