Kauli ya Wema kuhusu uhusiano wake na Diamond: ....."Tunapendana mpaka...
Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini...
View ArticleFlora Mbasha Avamiwa nyumbani kwake.....
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba,...
View ArticleKombe la Dunia: Uholanzi yaitandika Hispania mabao 5-1
Robin Van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia. ******* Mabingwa watetezi wa kombe...
View ArticleKombe la Dunia: Mexico yaibuka na Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Cameroon
Oribe Peralta akiipatia bao Mexico katika dakika ya 61 ya mchezo. Cameroon wameanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mexico kwenye mechi iliyopigwa usiku...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 14 June 2014
Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 14 June 2014
View ArticleSimulizi la Kusisimua: Mwanamke Msagaji Ameniambuka Virusi vya UKIMWI
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna alivyo pata maambukizi ya VVU...
View ArticleDawa za nywele zinazosababisha uvimbe wa kizazi kwa wanawake
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia. Hata hivyo, wataalamu wa afya...
View ArticlePicha: Baba Mlezi wa Mtoto wa Boksi akilia kwa uchungu Mahakamani baada ya...
Mama mzazi wa Omari Mtonga, Devotha Dibagula wa pili kutoka kushoto akimwangalia mwanaye Omari Mtonga anayeangua kilio baada ya mahakama ya hakimu mkazi kuwabadilishia mashtaka kutoka yale ya kula...
View ArticleBibi kizee Mchawi adondoka toka Angani jijini Mwanza akiwa bila...
Jana jiji la Mwanza lilikumbwa na kituko cha aina yake baada ya bibi mmoja kukutwa akiwa uchi wa mnyama baada ya kudondoka toka angani akiwanga.... Baada ya kuhojiwa na...
View ArticleUndani wa Sakata la Hausigeli mwingine ( binti wa kazi ) aliyekatwa katwa...
Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka...
View ArticleMheshimiwa Komba amsifia mkewe.....Asema hajawahi ona mwanamke mzuri na...
"Sijawahi kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome ) jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo duniani ni kazi sana," alisema Komba katika kipindi cha...
View ArticleKigogo wa Tanesco amkana mkewe kortini katika kesi ya matumizi mabaya ya...
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi William Mhando, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kuwa mshitakiwa wa pili (Eva Mhando) katika kesi ya...
View ArticlePicha: Hatimaye mwili wa msanii George Tyson wazikwa leo nchini Kenya
Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa...
View ArticleTaarifa kwa umma kuhusu zoezi la Usaili wa nafasi ya mkaguzi msaidizi wa...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imebaini taarifa mbalimbali zinazozungumzwa na ambazo zimetolewa katika baadhi ya vyombo vya habari kuhusu zoezi la usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji...
View ArticleJeshi la Polisi laanza kuwasaka waliohusika na mlipuko wa bomu huko Zanzibar...
Wakazi wa Zanzibar wako katika hali ya wasiwasi baada ya kushuhudia tukio lengine la kulipuka bomu kwa viongozi wa dini huku safari hii likiua kijana mmoja na kujeruhi saba. Kwa mujibu wa...
View ArticleKombe la Dunia: Uruguay yakalia kuti la Moto....Yachapwa 3-1 na Costa Rica,...
Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju wa penati. Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena waliifungia Costa Rica mabao yaliyowapa ushindi wa 3-1 Luis Suarez alikaa...
View ArticleColombia waanza vizuri kombe la dunia kwa kuilaza Ugiriki 3-0
Goli la mapema lililofungwa na mlinzi Pablo Armero katika dakika ya tano ya mchezo, kisha mshambuliaji Abel Aguilar Gutierez katika dakika ya 58 akifunga kwa mguu wa kushoto katika dakika ya 58 na lile...
View ArticleEngland yaanza vibaya kombe la dunia.....Yachapwa 2-1 na Italia
Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu. Timu ya Taifa ya England imeanza vibaya kombe la dunia baada ya kukubali kichapo cha mabao...
View ArticleRais Mpya wa Malawi kuoa wiki Ijayo baada ya kuishi maisha ya ukapera kwa...
Wiki mbili baada ya kuitwaa rasmi Ikulu ya Malawi, Rais mpya wa nchi hiyo, Profesa Peter Mutharika anatarajiwa kufunga ndoa na Gertrude Maseko Jumamosi ijayo, baada ya kuishi maisha ya ukapera kwa...
View ArticleUtabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva atafia Jukwaani kabla ya...
Nabii anayetikisa kwa maono ya vitu mbalimbali Hosea Chamungu 'Mzee wa maono' ameibuka na jambo zito baada ya kufunga kwa siku tatu mfululizo huku akifanya maombi...
View Article