Jana jiji la Mwanza lilikumbwa na kituko cha aina yake baada ya bibi mmoja kukutwa akiwa uchi wa mnyama baada ya kudondoka toka angani akiwanga....
Baada ya kuhojiwa na kundi kubwa la wananchi lililokuwa limemzunguka, bibi huyo alidai kuwa ametoka Bariadi lakini wenzake aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi wakiwa angani.
Bibi huyo
↧