Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya
Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa
kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka
miwili.
Merina amelazwa Moi baada ya kupewa rufaa na
Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa amelazwa awali, kutokana na majeraha
hayo ambayo yanadaiwa kusababishwa kung’atwa kwa meno na
↧