"Sijawahi kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome ) jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo duniani ni kazi sana," alisema Komba katika kipindi cha mkasi kinachorushwa na East African Television
Mheshimiwa Komba alisema ana watoto tisa wakiwemo wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa na wote wamelelewa na mke wake
↧