ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),
Mhandisi William Mhando, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar
es Salaam, kuwa mshitakiwa wa pili (Eva Mhando) katika kesi ya matumizi
mabaya ya madaraka, si mke wake.
Mhandisi Mhando alitoa madai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Frank
Moshi, alipokuwa akisomewa maelezo ya awali katika kesi hiyo na Wakili
wa
↧