Mwili
wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu
‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari
nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo
kijijini kwao Siaya nchini Kenya.
Mama wa Marehemu George Tyson, Mwongozaji Filam maarufu nchini Tanzania
na Kenya akiweka udongo katika kaburi la mtoto wake, George Tyson .
↧