Mama mzazi wa Omari Mtonga, Devotha Dibagula wa pili kutoka kushoto akimwangalia mwanaye Omari Mtonga anayeangua kilio baada ya mahakama ya hakimu mkazi kuwabadilishia mashtaka kutoka yale ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake na kuwa kesi ya mauaji.
*********
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro juzi iliwabadilishia mashtaka washitakiwa watatu katika kesi ya
↧