Wakazi wa Zanzibar wako katika hali ya wasiwasi baada ya kushuhudia
tukio lengine la kulipuka bomu kwa viongozi wa dini huku safari hii
likiua kijana mmoja na kujeruhi saba.
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa upelelzi na makosa ya jinai zanzibar
Sacp Yussf Ilembo, bomu hilo lilitupwa na mtu au watu
wasijulikana ambao walikuwemo ndani ya gari lilkuwa halina namba za
usajili ....
↧