Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju wa penati.
Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena waliifungia Costa Rica mabao yaliyowapa ushindi wa 3-1
Luis Suarez alikaa benchi, lakini hakutumika katika mchezo wa wa usiku huu.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2114#sthash.PwSsNkBz.dpuf
Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju
↧