Goli la mapema lililofungwa na mlinzi Pablo Armero katika dakika
ya tano ya mchezo, kisha mshambuliaji Abel Aguilar Gutierez katika
dakika ya 58 akifunga kwa mguu wa kushoto katika dakika ya 58 na lile la
mwisho lililofungwa na kiungo James Rodriguez yaliifanya timu hiyo ya
Amerika Kusini kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Ugiriki
iliyoanza na wachezaji kumi wa klabu ya Olympiacos
↧