Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu.
Timu
ya Taifa ya England imeanza vibaya kombe la dunia baada
ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Italia
maarufu kwa jina la Azzuri mjini Manaus katika mchezo wa kundi D.
Italia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 35
↧