Wiki mbili baada ya kuitwaa rasmi Ikulu ya Malawi, Rais mpya wa nchi hiyo, Profesa Peter Mutharika anatarajiwa kufunga ndoa na Gertrude Maseko Jumamosi ijayo, baada ya kuishi maisha ya ukapera kwa zaidi ya miaka 30.
Mutharika, mdogo wa Rais wa Pili wa Malawi, Bingu wa Mutharika ambaye kwa sasa ni marehemu, alikuwa mume wa Christophine G. Mutharika, raia wa Visiwa vya Carribean na
↧