Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara
kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi.
Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini
alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho
hawajawahi kukupitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.
“Tumeexperiance good time together, bad time
↧