Bajeti kuu ya Serikali itasomwa leo Bungeni Dodoma....Watanzania wasubiria...
Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum. Tayari Waziri...
View ArticleMagazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 12 June 2014
Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 12 June 2014
View ArticleVideo: Bonyeza hapa ujionee jinsi soko la Karume lilivyoteketea kwa moto...
Hali ilikuwa tete usiku wa kuamkia leo katika mabanda ya Wamachinga eneo la Soko Karume , Ilala jijini Dar baada ya kutokea moto mkuwa na kuteketeza mabanda yote ya wafanyabiashara eneo hilo. Fire...
View ArticleMwanamke mwingine abakwa na kuning’inizwa juu ya mti India
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 amekutwa amening’inizwa juu ya mti katika kijiji kimoja Kaskazini mwa India, likiwa ni tukio la tatu kutokea ndani ya wiki moja katika Jimbo la Uttar Pradesh....
View ArticleExclusive Interview: Agnes Masogange afunguka jinsi maisha yake ya jela...
Video vixen Agnes Gerald a.k.a Agnes Masogange amefunguka kuhusu matatizo aliyoyapata mwaka jana baada ya kukamatwa uwanja wa ndege wa Or-Tambo, Afrika Kusini (July 5 2013) na mzigo uliosemekana kuwa...
View ArticleHuu ni wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ...." Mdogo Mdogo", Bofya hapa...
Diamond Platnumz leo ameachia kazi yake Mpya halisi ya wimbo uliovuja na kuwa hauitwi kitorondo unaitwa “Mdogo Mdogo” .Umetengenezwa na Tudd Thomas. Utazame hapo chini
View ArticleHotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014/2015
UTANGULIZI 1.Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2014/2015. Pamoja na hotuba hii, nimewasilisha...
View ArticleMechi ya Ufunguzi wa Kombe la Dunia: Brazili yapata ushindi wa mabao 3 dhidi...
Neymar akishangilia bao lake la kwanza. WACHEZAJI Neymar na Oscar wamepeleka vilio Croatia baada ya kuipa ushindi wa mabao matatu timu yao ya Brazil kwenye mechi ya ufunguzi wa Fainali za Kombe la...
View ArticleAmina Maige anayetuhumiwa kumng’ata na kumchoma pasi msichana wa kazi...
Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es salaam ilisitisha kwa muda shughuli zake baada ya zomeazomea iliyosababishwa na umati mkubwa wa watu waliofika mahakamani hapo kushuhudia kesi...
View ArticleWashitakiwa wa mtoto aliyefungiwa Ndani ya Boksi na kufariki dunia wakabiliwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imewabadilishia mashtaka washitakiwa watatu katika kesi ya marehemu, Nasra Mvungi (4) waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya kula njama na kufanya ukatili, sasa...
View ArticleUnyama Mwingine: Hausigeli ( binti wa kazi ) mwingine Ajeruhiwa vibaya na...
Hausigeli aitwaye Melina Mathayo mwenye umri kati ya miaka 15, ameumizwa vibaya sehemu za kichwani na kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa na bosi wake aitwaye...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 13 June 2014
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 13 June 2014
View ArticleFlorah Mbasha awagawa Wachungaji.....Baadhi yao watangaza kususia hudumza...
Mpasuko wa ndoa ya wasanii wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha na mkewe Florah umewagawa wachungaji wa makanisa mbalimbali nchini baada ya kibao kumgeukia Flora kwamba ndiye...
View ArticleUnyama: Mtoto afungwa Minyororo kwa miezi minne
MATUKIO ya ukatili dhidi ya watoto, bado yameendelea kushika kasi kwenye maeneo mbalimbali nchini ambapo katika Mkoa wa Simiyu, mtoto mwenye umri wa miaka 17 (jina tunalihifadhi), mkazi wa Bariadi...
View ArticlePolisi aliyeuawa na Majambazi kuzikwa leo.....Majeruhi mmoja kati ya wawili...
WAKATI mwili wa askari polisi mwenye namba, D 9887 Koplo Joseph Ngonyani wa Kituo cha Polisi Mkamba, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani ukisafirishwa leo kwenda mkoani Songea baada ya kuuawa na watu...
View ArticleLori la diesel lateketea kwa moto baada ya kugongana na lori lingine.
Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali. Ajali hiyo...
View ArticleBaada ya miezi tisa ya kubeba Mimba, mwanamke ajifungua Mjusi...
Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto. Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho...
View ArticleMlipuko wa Bomu watokea huko Zanzibar na kuua mtu mmoja
Taarifa tulizozipata ni kuwa Bomu limelipuliwa baada ya mhadhara wa ndani ya msikiti huko Unguja na kuua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Muhammad mkombolaguha. Sheikh Abulfadh'li Qassim...
View ArticleWasomi 10,500 wasailiwa uwanja wa Taifa kujaza nafasi 70 tu za Uhamiaji.......
Katika hali inayoashiria ukubwa wa tatizo la ajira katika sekta rasmi nchini, wasomi wa ngazi ya Chuo Kikuu 10,500 walijitokeza jana (pichani) kwenye usaili wa Idara ya Uhamiaji nchini inayohitaji...
View ArticleJack Wolper akutwa na Mume wa mtu wakiwa katika mahaba mazito
Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu....
View Article