Johari awaponda waigizaji wanaokatishwa Viuno mbele ya hadhara.....
Blandina Chagula 'Johari' ambaye ni mmoja wa washiriki wa filamu mpya ya Wrong Hope amewaponda wasanii wa filamu wanaokubali kukatishwa viuno mbele ya hadhara na kueleza...
View ArticleBoko Haram yateka wanawake wengine 20 nchini Nigeria
Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Wanawake hao walichukuliwa katika Makazi ya Gakini Fulani...
View ArticleTazama Picha za Diamond akiwa studio na Mafikizolo ambao wamemuomba afanye...
Tumezoea kuona wasanii wa Tanzania wakiomba kufanya collabo na wasanii wakubwa wa kimataifa kwa lengo la kujitangaza kimataifa, lakini Diamond Platnumz amefikia hadhi ya yeye kuombwa collabo na wasanii...
View ArticleMfalme wa Mapenzi: Video nyingine inayotabiriwa kufungiwa hivi karibuni
June 9 ilitoka rasmi video ya wimbo wa msanii wa kike wa Kenya aitwae Sanaipei, unaoitwa Mfalme wa Mapenzi na ndani ya siku mbili tu uliangaliwa YouTube zaidi ya mara 59,000. Video hiyo iliyoongozwa na...
View ArticleAgness Masogange: Umaarufu wake, Skendo zake na Mafanikio yake
Unapozungumzia warembo wazuri ndani ya jiji la Dar es Salaam ni wazi kwamba huwezi kuacha kulitaja jina la Agness Gerald maarufu kama Masogange. Jina lake limekuwa kubwa sana...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 11 June 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 11 June 2014
View Article"Nikifa sitaki kusifiwa" - Hii ni kauli ya msanii Riyama Ali
RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika...
View ArticleNuh Mziwanda adai kuwa tattoo ya jina la Shilole ni ya kudumu na atakufa nayo...
Juzi, Nuhu Mziwanda alipost picha kwenye Instagram ikionesha Tattoo aliyochora yenye jina la mpenzi wake Shilole ikiwa imeandikwa ‘ShiShiBaby’. Wengi walihoji kuhusu tattoo hiyo kuwa ni tattoo...
View ArticleMalawi Yaanza Chokochoko zake.....Ndege yake yaonekana ikizunguka huko Ileje,...
MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara. Mbunge huyo alisimama kutoa hoja...
View ArticleJennifer Lopez abadili mawazo, atashiriki ufunguzi wa kombe la dunia kesho
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jennifer Lopez amebadili msimammo wa kutohudhuria sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia, na kutangaza kuwa atakuwa sehemu ya sherehe hizo zitakazofanyika...
View ArticleVurugu kubwa zaibuka jijini Mwanza, Mabomu ya machozi yarindima kila...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga waliokuwa wakipinga kuondolewa katika eneo la Kempu na eneo la soko la...
View ArticleSad News: Majambazi wavamia kituo cha Polisi KimanziChana na kuua...
Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa...
View ArticleMajibu ya Mbunge Salvatory Machemli wa CHADEMA kuhusu picha za utupu...
Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi na...
View ArticleBreaking News: Moto wateketeza soko la Mitumba la Karume jijini Dar usiku huu
Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku huu....
View ArticleWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka Anusurika Kufa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka juzi alinusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kupata ajali kwa kugonga punda katika Kijiji cha...
View ArticleShilole azungumzia uamuzi wa Nuh Mziwanda kujichora Tattoo ya jina lake...
Mwanzoni mwa wiki hii, Nuh Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole aka ShiShi Baby alijichora tattoo ya kudumu yenye jina la Shilole. Akiongea na The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Nuh Mziwanda alisisitiza...
View ArticleFlora Mbasha azungumzia tuhuma za mumewe kubaka.....Azungumzia jinsi...
Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha hivi karibuni aliwashituwa watu mbalimbali baada ya kutuhumiwa kumbaka binti ambaye awali alitajwa kama mdogo wake Flora. Akiongea na Global...
View ArticleWizi NMB Mwanga: Wakenya wawili wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Raia wawili wa Kenya, Samweli Saitoti (Saimoo) na Michael Kimani (Mike), wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), PC Michael...
View ArticleSerikali yawatoa Hofu Wananchi kuhusiana na Ndege za Malawi zilizoonekana...
SERIKALI imesema kuwa ndege zinazoonekana mpakani mwa Tanzania na Malawi ni maalumu kwa ajili ya kufanya utafiti na vyombo vya udhibiti wa anga vimezipa vibali vya kuwa katika maeneo hayo. Kauli hiyo...
View ArticleWaganga wa kutibu kwa sharti la Ngono Wakamatwa jijini Dar.....Wakutwa na...
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe...
View Article