Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko
kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya
kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku
wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini
kuwa ni watu wanaohitaji msaada.
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la
↧