JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limelazimika kutumia mabomu ya machozi
kuwatawanya wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga waliokuwa wakipinga
kuondolewa katika eneo la Kempu na eneo la soko la Makoroboi jijini Mwanza. ...
Hatua hiyo imesababisha vurugu kubwa na kusimamishwa kwa shughuli
mbalimbali za kijamii, ikiwemo kufungwa kwa maduka hadi katikati ya eneo
la jiji na
↧