Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jennifer Lopez amebadili
msimammo wa kutohudhuria sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la
dunia, na kutangaza kuwa atakuwa sehemu ya sherehe hizo zitakazofanyika
kesho huko Arena de São Paulo, mjini São Paulo.
J-Lo ambae hakutoa sababu za kutohudhuria sherehe hizo siku mbili
zilizopita, amesema ameona kuna umuhimu wa kuhudhuria katika sherehe za
↧