MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.
Mbunge huyo alisimama kutoa hoja hiyo baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuomba mwongozo wa Spika, Anne Makinda kuhusu suala hilo. Kibona alisema:
“Nazungumzia jambo mahsusi linalotokea katika mpaka wa Tanzania
↧