Juzi, Nuhu Mziwanda alipost picha kwenye Instagram ikionesha Tattoo
aliyochora yenye jina la mpenzi wake Shilole ikiwa imeandikwa
‘ShiShiBaby’.
Wengi walihoji kuhusu tattoo hiyo kuwa ni tattoo inayodumu au ni ya kuonesha kwa muda itafutika.
Katika Majibu yake, Mziwanda alieleza kuwa tattoo aliyochora ni ya kudumu katika kipindi
chote atakachokuwa duniani na kwamba haitafutika
↧