RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya
filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au
mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika
umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai,
haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatazisikia.
“Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa
↧